Monday, July 27, 2009

KIJANA huyu muuza viatu, ambao ni maarufu zaidi kwa jina la Machinga, aliyepo jirani na benki ya Stanbic jijini Mbeya, akiendelea na kazi huku mgongoni akiwa amembeba mtoto mgongoni
WATEJA wa kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom, wakiendelea zoezi la kusajili namba zao katika ofisi za kampuni hiyo zilizopo jijini Mbeya, kama walivyonaswa na kamera yetu jana.


No comments:

Post a Comment