Wednesday, May 20, 2009

DC GAMA AKIFUNGUA MKUTANO WA UWAMUI SACCOS

MKUU wa wilaya ya Mbeya, Leonidas Gama, akifungua mkutano mkuu wa Saccos ya bonde la Uyole, iitwayo UWAMU ambayo imeonyesha mafanikio makubwa ya kuwakomboa wanachama wake kiuchumi.

No comments:

Post a Comment