
MBUNGE wa kuteuliwa na Rais Jakaya Kikwete, kutoka mkoa wa Mbeya Thomas Mwang'onda, akiwasikiliza watoto hawa wa eneo la Mchangani, barabara ya kuelekea wilayani Rungwe.

MBUNGE Mwang'onda akionyesha mapenzi yake kwa watoto.

MBUNGE Mwang'onda akizungumza na wajumbe wa mkutano wa CCM, wilaya ya Mbeya vijijini.

MAMBO ya hali ya hewa.

MEYA wa halmashauri ya jiji la Mbeya, Athanas Kapunga (mwenye suti ya michezo kushoto) na Mkurugenzi wa jiji la Mbeya, Elizabeth Munuo (kulia).
No comments:
Post a Comment