
MKUU mpya wa wilaya ya Mbarali, mkoani Mbeya, Cosmas Kayombo akila kiapo kwa Mkuu wa mkoa wa Mbeya, John Mwakipesile.

SEHEMU ya waumini wa kikristo walioshiriki ibada ya sikukuu ya Pasaka, katuka kanisa la kilutheli la Kiinjiri Tanzania (KKKT), usharika wa Mbeya mjini.

MWENYEKITI wa jumuia ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi, mkoa wa Mbeya, Aden Mwakyonde, akipanda mti wa kumbukumbu katika shule moja ya jumuia hiyo iliyopo wilayani Mbarali, hivi karibuni.

HAWA ni wanafunzi waliomaliza kidato cha sita, wakirejesha fomu za kuomba mikopo Bodi ya Mikopo Tanzania, wakiwa katika ofisi za EMS jijini Mbeya.

GARI maarufu ya matangazo mkoani Mbeya, inayomilikiwa na H.Studio, ikiteketea jirani na grocery ya Idas jijini Mbeya, kufuatia hitilafu ya umeme iliyoanzia katika jenerata na kusababisha hasara ya mamilioni ya fedha.
No comments:
Post a Comment