Thursday, May 21, 2009

JAMAA AKIJIHAMI KUUMWA NA NYUKI KWA KUTIMUA VUMBI.

JAMAA huyu ambaye jina lake halikuweza kupatikana akitimua vumbi jirani na ofisi za Posta jijini Mbeya, baada ya kufukuza kundi la Nyuki waliokuwa wakimkimbiza.
HAWA ni vijana waliotuhumiwa kuchoma moto baadhi ya mabweni ya shule ya sekondari ya Panda Hill, wakiwa wametiwa mbaroni na kudhibitiwa.

WANAFUNZI wa shule ya sekondari ya Panda Hill iliyopo eneo la Songwe, wilaya ya Mbeya vijijini, wakipewa maelekezo na walimu wao (hawapo pichani), kufuatia mkasa wa baadhi ya mabweni kuchomwa moto na wakazi wanaoishi jirani na shule hiyo.


MSANII maarufu wa muziki wa Bongo Fleva ambaye anamiliki bendi ya Top Band, Kharid Mohamed (TID).



VIONGOZI wa mkoa wa Mbeya wakiwa katika msiba wa aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Rungwe.




No comments:

Post a Comment