
MWANDISHI wa habari Christopher Nyenyembe, akipiga makasi ndani ya Ziwa Ngosi, moja ya vivutio vya utalii vilivyopo mkoani Mbeya.

Mwanahabari Thobias Mwanakatwe naye akionyesha umahiri wake wa kupiga kasi ndani ya Ziwa Ngosi.

HAPA akiangalia kwa umakini mkubwa jinsi safu za miamba zilivyolizunguka ziwa Ngosi.

WANAHABARI wakiwa katika ziara ndani ya boti kwenye Ziwa Ngosi.

MTAALAMU kutoka chuo kikuu cha Dar es Salaam, ambaye ni mmoja wa watafiti wanaofanya utafiti kuhusu mazingira ya Ziwa Ngosi, lililopo barabara ya kuelekea Tukuyu wilayani Rungwe, mkoa wa Mbeya.
No comments:
Post a Comment