Thursday, May 21, 2009

JOSE CHAMELION AKIPAGAWISHA WAKAZI WA JIJI LA MBEYA - 2.

HAPA akimuimbisha mmoja wa mashabiki waliohudhuria onyesho hilo, ukumbi wa Dhando Complex jijini Mbeya.
Tuimbe pamoja mashabiki wangu...

Naipenda Tanzania na watu wake, ndivyo alivyokuwa akitamka msanii Chamelion kutoka nchini Uganda, kwa mashabiki wake wa jiji la Mbeya.


MASHABIKI wakiserebuka na kibao cha 'Mama Mia'







No comments:

Post a Comment