Tuesday, May 26, 2009

JAJI MKUU MSTAAFU BARNABAS SAMATTA

MKUU mpya wa chuo Kikuu cha Mzumbe, Jaji mstaafu Barnabas Samatta, akizungumza na wadau pamoja na viongozi wa chuo kikuu cha Mzumbe, kampasi ya Mbeya, katika hoteli ya Mbeya Paradise Inn, iliyopo Soweto jijini Mbeya.

No comments:

Post a Comment