
MASHABIKI hawa wa timu ya Tanzania Prisons ya mkoani Mbeya, wakishangilia ushindi katika moja ya michezo ya timu hiyo iliyofanyika uwanja wa Sokine jijini Mbeya.

JAMAA huyu akiwa amepigwa 'Tanganyika jeki', na polisi akipelekwa kwenye karandinga baada ya kutuhumiwa kuingia uwanjani kwa kuruka ukuta ili kushuhudia mechi.
No comments:
Post a Comment