
KOCHA mkuu wa timu ya Moro United Fred Minziro, akibadilishana mawazo na aliyekuwa mchezaji wa timu ya Tanzania Prisons ya Mbeya.

UTANI michezoni.

NAAM Kocha wa Moro United Minziro, akinywa maji mara baada ya kumalizika mpambano wa ligi kuu ya Vodacom baina ya timu yake na Tanzania Prisons ya Mbeya, katika uwanja wa kumbukumbu ya Sokoine.

WAANDISHI wa habari wakiwa kazini, hapa walikuwa wanapiga hesabu za pointi ili kujua timu zitakazoshuka daraja msimu huu.

KAZI bado inaendelea....
No comments:
Post a Comment