
MWANAMUZIKI Chamelion akiwa kazini na mahabiki wake wa jiji la Mbeya.

HAPA akiimba kibao chake maarufu kiitwacho 'JAMILA'.

MASHABIKI wa mataifa mbali mbali walihudhuria onyesho hilo la kukata na shoka, jijini Mbeya.

JOSE Chamelion akiwa katika pozi na mtangazaji wa kituo cha radio ya Generation FM kilichopo jijini Mbeya, Twalib Nassor maarufu kama Twalib Bling Bling (wa pili kutoka kulia).

MASHABIKI wakijimwaya waya ndani ya ukumbi wa Dhando, jijini Mbeya.
No comments:
Post a Comment