
HILI ni bomba lililotumika kuchukua udongo kutoka kina cha chini cha Ziwa Ngosi kwa ajili ya kwenda kufanyiwa utafiti zaidi na wataalamu.

WATAALAM wakifunga vifaa vilivyotumika katika utafiti wa Ziwa Ngosi, mkoani Mbeya.

HAPA ni ya Ziwa Ngosi wataalam pamoja na waandishi wakiwa ndani ya boti kulizungukia ziwa hilo.
No comments:
Post a Comment