Tuesday, May 26, 2009

KAPUNGA AKITANGAZWA MSHINDI.

MEYA wa jiji la Mbeya, Athanas Kapunga (katikati), akitangazwa rasmi na Msimamizi wa uchaguzi, Ernest Machunda (kulia), baada ya kuchaguliwa kuwa Katibu wa Siasa, Itikadi na Uenezi wa CCM wilaya ya Mbeya mjini.

No comments:

Post a Comment