
HUYU ni Mamba.

WAKUU wa mikoa Monica Mbega (mwenye suti nyeusi) na mwenzake Hajatt Amina.

UNYWAJI wa maziwa upewe msukumo mkubwa ili kuimarisha na kujenga afya zetu.

MBUNGE wa jimbo la Mbeya mjini, Benson Mpesya, katika moja ya mikutano yake ya kusikiliza kero za wananchi wa jimbo lake.
No comments:
Post a Comment