Tuesday, May 26, 2009

KAMISHNA WA TUME YA HAKI ZA BINADAMU

KAMISHNA wa Tume ya Hali za Binadamu na Utawala Bora, Bernadeta Gambishi, akizungumza na wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika eneo la Mwanjelwa, jijini Mbeya, ambapo alipinga hukumu iliyotolewa na mahakama ya kuwachia huru watuhumiwa watatu wenye asili ya kiasia kwa mauaji ya mwanafunzi
wa sekondari kutoka mkoani Kigoma, aliyeuawa hivi karibuni wilayani Mbarali mkoa wa Mbeya.

1 comment: