Saturday, May 30, 2009

WASAHINDI WATATU WA MISS MBEYA 2009

KATIKATI ni Miss Mbeya 2009, Mary Kagali akifuatiwa na mshindi wa pili Raulensia Laurency (kulia) na mshindi wa tatu Agnes Mpona, mara baada ya kutangazwa kwa matokeo katika ukumbi wa Benjamin Mkapa, jijini Mbeya.

No comments:

Post a Comment