Thursday, May 21, 2009

JOSE CHAMELION AKIPAGAWISHA WAKAZI WA JIJI LA MBEYA

MSANII mahiri wa muziki kutoka nchini Uganda, Jose Chamelion akiwa katika picha picha tofauti akiwapagawisha mashabiki wa muziki wa jiji la Mbeya, katika ukumbi wa Dhando Complex














No comments:

Post a Comment