
MTAALAM wa zao la kahawa kutoka kikosi cha Kujenga Taifa (JKT Itende), akimuelezea kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru, mti bora wa kahawa.

UJENZI wa daraja hili lililopo kata ya Kalobe, jijini Mbeya, ambalo ni moja ya miradi iliyozinduliwa wakati wa mbio za Mwenge wa Uhuru.

VIBARUA wa halmashauri ya jiji la Mbeya, wakiendelea na uboreshaji wa barabara katika barabara za eneo la Mbata.

HUU ni mti wa Artemisia.

WASANII wetu nao hawapo nyuma katika ubunifu kuelezea hisia zao, kama jinsi bango hili linavyojieleza.
No comments:
Post a Comment